Marafiki zangu naomba niseme kile ambacho nimekuwa nikikificha kwa muda mrefu kuhusu afya yangu.
Marafiki zangu naomba niseme kile ambacho nimekuwa nikikificha kwa muda mrefu kuhusu afya yangu.
Baaada ya kufuata ushauri wenye mapenzi ya hali ya juu kutoka kwa familia, marafiki na daktari wangu.
Nikaona ni vyema kufuata maelekezo waliyonipa yenye nguvu na moyo wa upendo kwangu na masha yangu.
Nimepimwa na kuonekana jino langu haliwezi kuzibika zaidi ya kung'olewa nami nikakubaliana nao na nimeling'oa leo.
Ila nimegundua ni vyema kuwa na pengo kuliko jino bovu na hii haitarudisha nyuma harakati zaungu za kutafuna vyuku, kiti chenye moto na vyeki vyenye utamu wake........
Kudadeki kuna watu akili ilienda kwenye ngoma hapa
0 comments: