WANAWAKE SOMENI HAPA JINSI YA KUMFANYA MWANAUME AWE WAKO KWA KUTUMIA NJIA MPYA ZA KIDIGITALI

04:52:00 Unknown 2 Comments



1. Mpe mapenzi ya dhati na hakikisha anakufurahia

2. Kamwe usimuulize yuko wapi au anaenda wapi

3. Mpikie chakula kizuri kila mara kwa kumbadilishia bila kuumuuliza napenda kula nini..

4. Kama ana mtoto au watoto wasio wako wapende zaidi kuliko uwezavyo

5. Usimuulize kuhusu wapenzi au mpenzi wake wa zamani yeye anajua yupo na wewe upon aye kwahiyo toa pua yako kwenye kuchimba mambo ya kale

6. Fanya majukumu yako ya nyumbani kama usafi wa nyumba nguo na kila kitu

7. Kamwe yaani kamwe nasema usije angalia meseji kwenye simu yake, mitandao yake ya kijamii kwenye meseji zake

8. Kamwe usimsukume kufanya yale asiyoyapenda


9. Kamwe usimsifie mpenzi wako wa kale au mambo yanayoendana na hayo

10. La mwisho kila siku uwe wewe aliyekupenda tangu mwanzo.. usijilazimishe kwa kuwa na hali isiyo yako na utaufurahia uhusiano wenu ( kama alikupenda kwa kuwa una rangi nzuri baki nayo hiyo, na kama ulikuwa haupayuki payuki baki hiyo hivyo)

You Might Also Like

2 comments:

  1. Halo watu wote, jina langu ni Marvelyn Larry. Kwa muda mrefu, mume wangu alikuwa akiishi katika ghorofa nyingine kutokana na shinikizo la kazi na tulifurahi sana pamoja ingawa alikaa mbali nasi kwa miezi kadhaa. Sikujua mwenzangu wa kazi tayari alikuwa na uhusiano naye jambo ambalo lilimfanya mume wangu anipe talaka bila kutarajia. Nilijua kuna kitu kibaya kwa sababu hatukuwahi kupigana au kubishana kiasi hicho ili kumfanya aondoke. Nilikuwa na kiwewe na natafuta msaada wa kukabiliana na hali hiyo iliyonipeleka kwa DR DAWN kutokana na sifa walizomwagiwa na watu mtandaoni. Tulizungumza kwa kirefu na aliniambia kila kitu nilichohitaji kujua kuhusu kile kilichotokea na utaratibu unaofaa wa kurekebisha matatizo. Alitimiza ahadi zake na kumrudisha mume wangu kwangu na mchakato wa talaka ukafutwa. Sasa mume wangu amerudi nyumbani kwetu na tuna furaha pamoja. Inashangaza sana jinsi watu wanaweza kusaidia watu wengine wakati wanahitaji. Anaweza kukusaidia pia. Mtumie tu ujumbe kupitia WhatsApp: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete