WANAWAKE WAWILI WALIKUTANA MBINGUNI :

06:30:00 Unknown 0 Comments


MWANAMKE 1 : Mambo, naitwa Lorraine.
MWANAMKE 2 : Poa, mimi naitwa sekilasi, sasa naomba nikuulize ulikufaje?
MWANAMKE 1 : Imagine nilikufa kwa baridi ya kulala ndani fridge ya nyumba moja.
MWANAMKE 2 : Pole sana my dear!
MWANAMKE 1: Hata haikuwa mbaya sana. Wewe hebu niambie ulikufaje ??
MWANAMKE 2 : Mimi nilikufa na stress, nilijua mme wangu ana uhusiano na mwanamke mwingine. Sasa siku moja nimerudi nyumbani usiku baada ya kudokezwa kuwa yupo ndani nikaanza kumtafuta, nikatafuta, nikatafuta huyo mwanamke kila mahali lakini nikamkosa. Imagine nilitafuta for 6 hours. Baada ya kutafuta nikachoka na kujilaza kitandani na BP ikapanda nikafa.
MWANAMKE 1: Pole sana. Ungemtafuta hadi ndani ya fridge, tungeweza kuwa wazima mimi na wewe.

You Might Also Like

0 comments: