13:29:00 Unknown 0 Comments



Kuna mhindi moja alivamiwa na majambazi yaliyokuwa na mapanga na walipoanza kubomoa mlango muhindi haraka akaweka ngazi na kumpandisha mke wake darini ambako ilikuwa ni juu sana. Kisha naye akapanda na pesa zote alizokuwanazo

Alipomaliza tu kupanda tu majambazi yakawa tayari yamevunja mlango.
Muhindi akavuta haraka ngazi darini.


Majambazi kuangalia chini yakaona watoto watatu. Yakaanza kuwapiga wale watoto na kuuliza pesa ziko wapi.


Mtoto akasema baba kapanda nazo zote huko juu. Majambazi kuangalia darini ilikuwa juu sana na hakukua na uwezekano wa kupanda tena huko juu. Yakawakamata watoto na kisha kusema.

We kanjibai shuka haraka au tutupie pesa pesa hizo lasiyo tunaua watoto wote chini.

Muhindi kwa kujiamini akasema. Ua yote maliza mashine niko nayo huku juu ntakuja tengeneza toto ingine


Karibu Mbeya shared a link.
Posted by Fred Kihwele · 3 hours ago
UP COMING EVENTS ITETE ALUMNI

You Might Also Like

0 comments: