Mambo 10 ambayo usipokuwa makini nayo hupelekea kuharibu figo mwilini.
Hukojowi mapema mkojo ukikushika.
Hunywi maji ya kutosha.
unakula chumvi sana kwenye chakula.
Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri.
Unakula nyama sana.
Huli chakula cha kutosha.
Unatumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi.
Huli kwa wingi vayakula vya virutubisho.
Unakunywa pombe kupita kiasi.
Hupumziki vya kutosha.
0 comments: