Mambo ya Kishamba Ambayo Mwanaume wa Sasa Hutakiwi Kuyafanya

18:36:00 Unknown 0 Comments


1. Kufuata mkumbo, kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe.
2. Kuongea lugha chafu, huwezi kumaliza sentensi bila matusi au kwenye sasa unaweka xaxa
3. Kuvaa mlegezo.
4. Kunyoa panki, kiduku
5. Kuvaa viatu vilivyovikubwa kuliko mguu wako
6. Kukimbia mimba
7.
Kuongea Na kila sentensi ukatia ' ummm umm" HEE!! We vipi????? Kiswahili hujui Ama? Si ulizaliwa Na kukuwa gongolamboto Ww Ama? 

8.Kushinda club Kula na kulala kwenu Kuvuta bangi au madawa ya kulevya.


You Might Also Like

0 comments: