Hey ladies hii ni majibu ya kuwajibu wanaume wanaosumbua inbox.ukiwajibu hawakusumbui tena.
Swali:Mrembo unafanya nini?
jibu:natafuta pete ya ndoa sijui nimepoteza wapi
Swali:tunaweza kuonana?
jibu:nina mimba ya miezi 8 siwezi kukutana kwa hii hali.
swali:naweza kujua zaidi kuhusu wewe?
jibu:ofcourse,napenda hela nitumie laki 5
Swali:Una boyfriend?
jibu:ninaye na tna watoto wawili halafu ni mwanajeshi
0 comments: