Mambo ma3 fanya kwa kufikiria sana

13:53:00 Unknown 0 Comments



1: MAPENZI
2: MAONGEZI
3: MAAMUZI

mambo ma3 usiyaone mepesi:

1: MADENI
2: MAJUKUMU
3: MARADHI

mambo ma3 ni muhimu kupata duniani:

1: KAZI
2: MTOTO
3: HESHIMA

Watu wa3 uwajali sana ktk maisha yako

1: WAZAZI WAKO
2: MPENZI WAKO
3: NDUGU ZAKO

Vitu v3 hivi ndio nguzo ya penzi

1: KUPENDANA
2: KUELEWANA
3: KUVUMILIANA

Vitu hivi 3 havina ulazima ktk mapenzi

1: UZURI
2: ELIMU
3: PESA .

You Might Also Like

0 comments: