DALILI 8 KWAMBA MWANAUME UNAYETAKA KUMDATE HAYUKO GOOD KWENYE UKANDA WA 6 KWA 6 HIZI HAPA.
.
Hizi ni dalili 10 ambazo Wanawake mnaotaka kuingia kwenye Mahusiano inabidi mziangalie kwa Umakini sana kabla hujasema YES...
Lakini kama ushakufa na ushaoza juu yake,na ana cheda/mpunga/mijihela na ndicho ulichofuata najua topic hii wala haitakugusa....
Na wale wenzangu na mie ambao huwa tunaamini unaweza kumbadilisha mtu wa dizaini hiyo,basi sawa......
Ila ni muhimu uzijue,Ukiamua kuingia kwenye uhusiano nae uwe prepared kupelekwa Shallow kwenye shallow water na uwe willing kuvumilia tu na kujaribu kumbadilisha ukiweza...ingawa wengine wabishi hao,anavyopump ye ndo anaamini ni ze best,humwambii kitu....
TWENDE KAZI...
1.ANAONGELEA SANA MAFAILI YA MA-EX WAKE WA ZAMANI WALIVYOKUWA BED
Katika hali ya kawaida,Mwanaume rijali na anayejiamini hawezi kukaa na kuwaongelea Ma-ex mbele yako,na kuwasifia kwamba walikuwa wakali kweli bed...Ukiona Mwanaume wa dizaini hii ujue anajaribu kukuonyesha kwamba 'He had his best' na wale kwahiyo inabidi uprove kwamba unaweza kuwafikia ingawa hakutakuwa na kipimo coz ur not even sure kama walikuwa wakali au yeye ndo alikuwa Shallow alikumbana na Shallow wenzake waliomzidi uwezo akawaona wakali...
Ukiona Mwanaume wa type hii,tembea na Question marks mkononi na uendelee kuangalia Dalili zinazofuatia kama zinaendelea ku-match au lah..Kama anazo 8 kwenye hizi 10,aaah chezo hamna hapo!
2.HAJUI KUCHEZA MUZIKI
Ukiacha Blues ambayo hata watoto wadogo wanacheza kwenye ubarikio,hajui kabisaaa kucheza,....Weka Shamukwale holaaaa...Mayaula Mayoni wapiii...Kiduku holaaaa....Alingo Holaaaa...Taarabu zirooo...Mduara nehi bambuchi....Sasa viuno ataviweza wapi???Labda kwaya....
Kama Muziki una Midundo na Beat hawezi,Mtanange wa Bed usio hata na mlio wa zumari ataweza kwenda na mapigo kweli???Weka viulizo,Muziki ni Kipimo kwamba hii njemba alfu ulela,hadithi tu!
3.ANAONGEA SANAAAAA
Hawa wapo wengi....Ahadi lukuki,mimi nomaaaaa...muulize flani,yule demu ananikumbuka mpaka leo....Ah yule nilimpa vitu akakimbia...oh vilee...Tuu machi perepepe! Mpe kinu,ulimi huu...
Mwanaume anayejisifu sana kwamba anajua vyenga kama Messi ukimpa Penati anapaisha kama Nsajigwa...Kuwa nao makini,weka viulizo,maneno mengi vitendo hamna!
4.HAWEZI KUKUANGALIA MACHONI HATA SEKUNDE
Connection ni kitu muhimu sana kwenye Mahaba...Aibu haina nafasi....Kama hamna connection kwenye Macho na huyo mtu,akikuangalia sekunde 2 anakwepesha macho jiulize anaogopa nini???
Hawa ndo waleeee wataalamu wa kupenda giza,mkifika chobingo anafall in Love na Swichi....Mapenzi ya aibu ya wapi haya???
Raha ya tunda liliwe mko Connected...Lazima Computer iwe na Internet connection na Modem ili uweze Kubrowse...Sasa Modem umezima unasurf vipi????
Hakuna raha kama kuwa na connection ya macho,macho yana siri kubwa sana....Kuna wanawake ni Mabingwa wa kufake Orgasm,unaweza ukadhani unatwanga kweli maana hizo kelele kama kaumwa na Nge kumbe wala....Ukitaka kujua Fake orgasm ANGALIA MACHO,Hayadanganyi kamweee,utajua tu hili Gubegube LINAFAKE MAMBO!Chukua Siri hiyo,itakusaidia
5.TOO MUCH DRINKING,PIGA SANA ULABU MPAKA MASANGA YANAOMBA RADHI
Mwanaume mlevi ni ngumu sana kum-satisfy Mwanamke! This is a fact.Wanaume wengi mnagongewa mademu zenu na Wake zenu kwa kuendekeza Pombe especially Bia...Vikao vya Bia haviishi,muda wa kukaa na demu wako au mkeo huna,unarudi umelewa unazima..hiyo moja,2 unapiga masanga unalewaaa,unakuja unaomba mechi,ukipewa vitu dakika 5 nyingi unamwaga Povu halafu unazima kama Trekta la Massey Ferguson...Kweli huyu Mwanamke atavumilia A ONE MINUTE MAN???
Siku ampe mzee wa kazi anayejua kokoto ni kokoto na jiwe ni kaka yake kokoto,unakuta kalima lami...Muda si muda,Wanawake feelings zao kuibiwa rahiiiiisi,atakusahau,na hata ukiendelea kuwa wake hisa asilimia 80 kashapewa msela..Wewe upige usipige ye kashapata wa kumshushia Vitu...Mupe Muruke...Mupe...WEWE UNABAKIA BOYFRIEND JINA!
Si ajabu hata wewe ni Boyfriend Jina tu,ila kuna mtu anaipiga hiyo kitu mpaka inabakia na rangi ya Royco...wewe lewa weeeee,yumba weeeee,mwenzio katulizwa tayari....NIMEMALIZA,Mwanaume hasifiwi chupa ngapi za Bia,anasifiwa 'KAZI'
6.CHUMBA CHAKE KIMEJAA UREMBO,PERFUME KIBAOOOO,PODA...JIULIZE
Huyu Mme au Mwanamitindo??
Hii ni subject to discussion...Wengine watasema usafi wa kawaida...Wengine watatetea sana ila too much of anything is harmful...Sisemi Wanaume tuwe wachafu,na tusinukie ila mmh...Pierre cardin,Prada,Gucci perfume...Mapoudah nini pale kati...Mwanaume dah,wengi wa dizaini hizi ni wachovu,YES,watavutia wadada kwa kung'aa lakini wadada mtakuwa mashahidi,hawa marioo wanaonukia nukia kila muda wanafuta viatu wanapiga kazi kweli????Mtanijibu kule kwa Wall...I DOUBT! Wengi Mjarabati hawawezi,wana mapenzi ya Mrabaha tu!Kipande hapa na pale ''Baby some water please,hoi!''
7.CHUMBA CHAKE KAMA CHA MFANYABIASHARA WA MBAO
Ingia chumba cha huyu jamaa,rafuuu mbaya...atasema ye msela...
Glasi chafu za juzi kwenye sinki full nzi....anasubiri umuoshee
Mabegi kuleeee..Nguo chaliiii....Vitu ovyo ovyo....Hana mpangilio kwenye lolote lililomo chumbani...
watu wa namna hii wana dalili za ugoigoi..wavivu....
Kama hawezi kupanga vitu room...vikapangika,ataweza kupangilia chochote kwenye Mahaba???Atajuaje aanze wapi..Kisha aguse wapi...Ashike wapi,na aingize wapi??Thubutu,utashangaa huyooooo kadandia...Baba mara hii????
8.SELFISH NA HAKUFIKIRII WEWE KWANZA
Kuna msemo wa Ladies First...Si lazima utumike lakini we expect Gentleman autumie..na sio kwa kupretend!
Mwanaume asiye selfish utamjua tu...He cares about his girl first..je,honey kashapata???kabla hajajifikiria...
Ukiona Mwanaume anatembea fasta MWanamke yuko nyuma bila kujali amevaa High Heels amsubiri...Yeye kuleee mbele kama kuruta wa JKT demu wake yuko nyuma,as if hawako safari moja...Jiulize,why???
Ukiona Mwanaume mnaingia kwenye gari yeye wa kwanza kashajifungulia mlango kazama,maskini demu wake yuko nje...Jiulize
Ukiona Mwanaume muda wa kula,yeye kashajiwahi kanawa kaanza kula bila kujali mama yupo...Jiulize
Hii ni mifano midogo sana lakini it shows jinsi gani huyu jamaa hajali presence ya malkia around him....Wanawake tumeumbwa tuwahudumie,vitu vidogo vinawafanya wajisikie kama wanapaa hivi,sasa wewe hata hivyo vidogo navyo kero,humpi...Sasa huyo ni mpenzi wako au Bodyguard???
Aina hii ya Wanaume,hasara moja utakayopata wewe mdada ni kwamba mkifika Bed,hatajali wewe umefika Kileleni au Lah,Maadam yeye kashasuuza rungu na Wazungu wameshuka na ndege ya KLM,basi kwake kamaliza...Utajibeba mwenyewe,utajishushaje huko uliko is none of his business....Sasa we mwanaume ukiibiwa na washushaji wenye uzoefu utalalamika???BLAME UR OWN SELFISHNESS...
Kabla hujajifikiria wewe mfikirie yeye kwanza...Kabla hujafikiria kumaliza make sure naye kamaliza atleast Viwili flani ndo ushuke,sio unatua kama Ng'ombe bila kujali hali ya hewa..Uanaume sio hivyo baba!
NATUMAI TUNAENDELEA KUPONA,KAZI NI KWAKO!

0 comments: