MAMBO 8 YA UONGO AMBAYO BINTI ATAMWAMBIA MWANAUME SIKU HIZI

15:31:00 Unknown 0 Comments




1.Nina mpenzi ila yuko nje ya nchi
2. Jamaa yule ananisumbua sana ila mimi simtaki
3. Situmii mkorogo mimi nina natural color
4. Niko period.
5. Sikuwepo jana nilienda kumsalimia rafiki alinipa 50,000 ila hakunifanya kitu.
6. mie sikupendi kwa ajili ya fedha zako nakupenda wewe
7. Yule jamaa ni rafiki yangu tu
8. I love u too!

You Might Also Like

0 comments: