SENTENSI 10 ZA UONGO WA WANAWAKE"

20:28:00 Unknown 0 Comments

SENTENSI 10 ZA UONGO WA WANAWAKE"


1. I love u baby,
2. nipo singo,
3. usijali uko peke yako,
4. sikuwa na credit,
5. nitafanya chochote kwa ajili yako,
6. sijisikii vizuri Leo tumbo linaniuma,
7. Usipige, Ntakupigia baada ya muda ,
8. Nilikuwa nipo na baba,
9. nyumbani kulikuwa na wageni nikashindwa kutoka,
10. NAAPA, we ndo wa pekee..

WIZI MTUPU

You Might Also Like

0 comments: