Fahamu tofauti ya kiufundi kati ya welding (kuchomelea) na wedding (harusi)

16:41:00 Unknown 0 Comments


Injinia aliulizwa kuna tofauti gani ya kiufundi kati ya welding (kuchomelea) na wedding (harusi)???

Akajibu: Tofauti sio kubwa sana, zote ni viungo(joint) ila katika welding kuna cheche kwanza na inaungana milele, wakati katika wedding inaungana kwanza halafu cheche milele.

You Might Also Like

0 comments: