Wanandoa waongo kuliko wote duniani
Kuna wanandoa wawili walikua na tabia ya kudanganyana katika ndoa yao..siku moja mke alilala nje na aliporudi asubuhi,mumewe
akamuulza alipolala,yeye akamwambia alilala kwa rafiki yake wa kike,mumewe akaamua kuwapigia marafiki zake 10,kuwauliza kama mkewe alilala kwao lakini wote walikataa kwamba hakulala kwao.
Siku ya pili mumewe nae akalala nje aliporud asubuhi akamwambia mkewe kuwa amelala kwa rafiki
yake,mkewe nae akaamua kuwapigia marafiki wa mumewe 10 kuwaulza ka mumewe alilala kwao.
Lakini cha ajabu marafki zake 8 walikubali kuwa jamaa alilala kwao na 2 walisema alilala kwao na hadi wakati huo alikua bado yuko huko kwao
0 comments: