Chemsha akili kidogo

16:31:00 Unknown 0 Comments

*Chemsha akili kidogo...!!

Najua nina marafiki vichwa hasa...😊.

Naomba mnipe jibu . nguo inauzwa 10,000/= huna pesa ukaendakukopa kwa dada 5,000/= na kaka 5,000/= jumla 10,000/= ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9,700/= ukabakiwa na 300 ukapunguza deni kaka yako ukampa 100 dada ukampa 100 ukabaki na 100 jumla kaka akawa anakudai 4,900 na dada 4,900 ukijumlisha unapata 9,800/= ukiongeza na  100 yako uliyobakinayo unapata 9,900/=je? 100 iko wapi? Yani ukinijibu wewe mkali*

tabasamunafuledi.blogspot.com

You Might Also Like

0 comments: