DUUH!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HII WIKI SIJUI ITAISHAJE... MAANA ISHAANZA KWA SMS ZA MIKOSI
Yaani asubuhi hii imekuja meseji kimakosa inasema " Baby am 2 weeks pregnant for you"
Nikaitupa simu chini kwa mshangao... sekunde chache kapiga binti na kusema sorry hiyo sio sms yako.....
Yaani bado miguu haina nguvu kabisa
0 comments: